Home »
yaliyojili
» MWILI WA ALBERT MANGWEHA WAANZA KUAGWA NCHINI SOUTH AFRICA;CHEK PICHA ZA WATANZANIA WALIOKOHUKO WAKIAGA
MWILI WA ALBERT MANGWEHA WAANZA KUAGWA NCHINI SOUTH AFRICA;CHEK PICHA ZA WATANZANIA WALIOKOHUKO WAKIAGA
Written By warrior on Monday, June 3, 2013 | Monday, June 03, 2013
.Baada ya ratiba kupangika watanzania waishio
nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert
Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na
Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa.
Labels:
yaliyojili
0 comments:
Post a Comment