Kikosi cha Simba.
Kikosi cha Yanga.
Benchi la ufundi la timu ya Simba.
Benchi la Ufundi la Yanga.
Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.
Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la kwanza la timu yao.
Raha ya ushindi.
Furaha kwa Simba.
Hamisi Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka, Ramadhani singano.
Ivo Mapunda akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mashabiki wa Yanga wakiwa hawaamini kilichotokea uwanjani baada ya kuchapwa 3-1 na watani zao wa jadi Simba.
Haruna Shamte akiwa amenyanyua juu Kombe la Mtani Jembe alilokabidhiwa na Mgeni Rasmi, Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe (mwenye suti nyeusi kulia) baada ya kuwashushia kichapo cha mabao 3-1 Watani Wao, Yanga SC katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar leo jioni.
Mshambuliaji wa Simba aliyepeleka kilio Jangwani kwa kuwatungua mabao mawili, Amissi Tambwe akishangilia uwanjani.Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi kombe nahodha wa Simba Haruna Shamte.
Tweets by @soudwarrior
0 comments:
Post a Comment