| Nilipowasili niliutana na My Big Bro Chid Benz nae akiwa amekuja kuchek show... |
| Mariam & Esma khan walikuwepo kumpa support madee usiku wa Jana....pia na dada yangu halima kimwana ayupo pichani nae alikuwepo... |
| Moja kwa Moja niliena backstage kuonana na madee kupanga mpango wa kumsaka aliemwaga pombe yake |
| DJ OMMY CRAYZ ON THE 1 N 2 |
| Sema eeeehhhhhh....Semaaaa Ooooohhhh..... |
| Yaniii.......Mizuka ikapandaa pale umati wa watu ulivolipuka na kuanza kuimba sambamba na mimi.. |


0 comments:
Post a Comment