Msanii mkongwe hapa inchini Tanzania Juma Kasimu,ajikuta akitimuliwa katika interview aliyokuwa akifanya ndani ya east Africa television.
Nature aliingia akiwa ameongozana na msanii Tunda man wa tip top connection,lakini Juma nature alionekana akiwa amelewa sana,pia akiwa amevaa ndala pamoja na kuvalia kizibao.hali hiyo ilimpelekea mtangazaji wa kipindi hicho cha Friday night live kumtoa nje ya kipindi hicho.
Hata hivyo mtangazaji huyo,ambae ni Sam Misago alisema”Imekuwa mazoea sasa kwa Juma Nature kuja kwenye interview akiwa amelewa sana na kuvaa kizibao pamoja na ndala kitu ambacho hakileti picha nzuri machoni kwa watu.
Ila nawaomba radhi mashabiki wake hatuna tatizo na Nature siku nyingine akija katika hali nzuri
0 comments:
Post a Comment