THAMANI YA MAGARI NA NDEGE YAKE NI ZAIDI YA BILIONI 1 ZA KITANZANIA
Air Jaguar mali ya msanii Jaguar |
Mwezi uliopita (April) msanii Jaguar kutoka Kenya alishoot video ya wimbo wake mpya 'Kipepeo' na moja ya vitu ambavyo vilimake headlines ni pamoja na ndege ambayo aliitumia katika video hiyo ambayo iliripotiwa kuwa ni mali yake.
Hivi karibuni Jaguar amethibitishia kwa mdomo wake kuwa vitu vyote vilivyotumika kwenye video hiyo yakiwemo magari ya kifahari aina ya Range Rover Sport ya silver, Bentley nyeusi (mpya) pamoja na ndege (Air Jaguar) vyote ni vyake kasoro uwanja wa ndege tu, hahahah.
Jaguar akiongea na mtandao wa ghafla amesema ndege yake imemgharimu kiasi cha karibia shilingi ya Kenya million 18 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi million 300 za kibongo.
Magari ya Jaguar |
- A Bentley (Kshs 15 Million) sawa na Tshs million 290
- Silver Range Rover Sport (Kshs 8 Million) sawa na Tshs million 155
- Black Mercedes Benz E240 (Kshs 5 Million) sawa na Tshs million 97
- Beige BMW 5 Series (Kshs 5 Million) sawa na Tshs million 97
- Toyota Lexus (Kshs 4 Million) sawa na Tshs million 77
- Toyota Mark X (Kshs 2 Million) sawa na Tshs million 38
Bentley ya Jaguar |
Kiasi cha mafuta ambacho magari yote 6 yameshatumia si chini ya million 35 Ksh sawa na million 630 za bongo.duuuh!
Mbali na muziki Jaguar anamiliki kampuni yake ya Cab, biashara za real estate, ana deals na makapumni kama Safaricom, Eabl na Unilever. Tweets by @soudwarrior
0 comments:
Post a Comment