Hizi ni baadhi za picha.
Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ambassador Lounge, Kajala alifanyiwa bonge la welcome back party. Party hiyo ilihusisha mastar na mashabiki wake binafsi ambao wengi hawajawai kumuona tangu atoke Segerea. |

0 comments:
Post a Comment