Tukampigia simu mzee Hasheem Kambi kuhusu hii picha na yeye alikuwa na haya ya kusema’“Hapana mimi sipo location na Lulu tunafanya movie kwa wakati huu, mara ya mwisho tumefanya movie ilikuwa mara ya mwisho kabla hajaingia kwenye matatizo ilikuwa ni movie yake ya Foolish Age. Labda ndiyo anaifanyia promotion, lakini hatupo location kwa sasa”
Hii ni picha ambayo Lulu alipost kwenye Instagram ambayo ndiyo hiyohiyo ipo kwenye facebook. So Lulu kama yupo location anafanya movie nyingine na hii siyo location ya hiyo movie kama anafanya sasa hivi as alivyoandika kwenye Instagram.


0 comments:
Post a Comment