MV BUKOBA WAKATI IKIWAIMEZAMA PEMBEZONI MWAKE NI BOTI NA MITUMBWI YA UOKOAJI.
ILIVYO ZAMA MWAKA 1996,,,,,
TUME ILIYOCHUNGUZA AJALI HIYO ILITOA TAARIFA KUWA MV BUKOBA KABLA YA AJALI ILIKUA NA ABIRIA KATI YA 750 __ 800 PAMOJA NA WAFANYAKAZI 37.KATI YA HAO WALIOOKOLEWA WAKIWA HAI NI:114,MIILI ILIYOPATIKANA ILIKUA 391.
WALIZIKWA KATIKA MAKABURI YA IGOMA NJE KIDOGO YA MWANZA NA AADHI YA MAREHEMU WALICHUKULIWA KWENDA KUZIKWA NA NDUGU ZAO .HATAIVYO JUMLA YA MIILI YA WATU 332 HAIKUPATIKANA.
kila mwaka mwezi mei 21 serikali viongozi wa dini na watu wote huongozana kwenda kufanya kumbukumbu ya ajali hiyomeli ya mv bukoba ilikua imepingwa marufuku kufanya safari za majini kwa kuwa ilikuwahaina viwango vya ubora kwa ajili ya safari hizo.
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
AMINA.
0 comments:
Post a Comment