Home »
yaliyojili
» matokeo ya tume yakuchunguza matokeo ya FORM 4
matokeo ya tume yakuchunguza matokeo ya FORM 4
Written By warrior on Friday, May 3, 2013 | Friday, May 03, 2013
TUME ya
kuchunguza sababu za kufeli kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi wa kidato
cha nne waliofanya mitihani ya kuhitimu mwaka 2012 imekamilisha kazi
yake na taarifa za uhakika zilizolifia gazeti hili zinasema , upangaji
alama zao utafanyika upya.
Labels:
yaliyojili
0 comments:
Post a Comment