UWOYA AJISAFISHA KUPITIA JINA LA RAISI
Written By warrior on Thursday, May 9, 2013 | Thursday, May 09, 2013
TAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya haachi vituko, safari hii ameibuka na kujisafisha kupitia Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza akidai kuwa yeye na tasnia nzima ya sinema za Kibongo hawana tabia za hovyo bali Magazeti Pendwa ndiyo yanasababisha waonekana hivyo.
Labels:
bongo
0 comments:
Post a Comment