Home »
matukio
» VIDEO YA MTOTO MWENYE UMRI WA SIKU MBILI ALIYEKUTWA KWENYE BOMBA LA CHOO HUKO CHINA...HII HAPA
VIDEO YA MTOTO MWENYE UMRI WA SIKU MBILI ALIYEKUTWA KWENYE BOMBA LA CHOO HUKO CHINA...HII HAPA
Written By warrior on Tuesday, May 28, 2013 | Tuesday, May 28, 2013
MTOTO HUYU ALIKUTWA NDANI YA BOMBA HILO LA CHOONI BAADA YA KUSIKIKA KWA SAUTI YA MTOTO NDANI YA BOMBA HILO MADAKTARI WALILAZIMIKA KUKATA BOMBA HILO HADI KUMPATA MTOTO HUYO AKIWA HAI JIONEE MWENYEWE JINSI MTOTO ALIVYOKUTWA KWENYE HILO BOMBA.NI JAMBO LA UNYAMA SANA KWA ALIYEFANYA TUKIO HILI........................
0 comments:
Post a Comment