PICHA ZA SHOW YA IZZO JANA KWENYE UZINDUZI WA NGOMA YAKE MPYA
Written By warrior on Sunday, April 28, 2013 | Sunday, April 28, 2013
IZZO BIZNESS akiwa na fans baada ya show ... Kulia ni mwanadada WEMA SEPETU ...
Usiku wa jana katika ukumbi wa disco wa AMBASSADOR LOUNGE, mkali kutoka Mbeya City, talkin about IZZO BIZNESS alikuwa anazindua ngoma yake mpya inayojulikana kama ...
Ngoma hiyo inayojulikana kama LOVE ME ilichezwa kwa mara ya kwanza katika disco hilo huku akisindikizwa na wasanii wenzake kama SHAA na BARNABA ambao wameshirikishwa humo ndani ...
IZZO BIZNESS akimvalisha mrembo aliemchagua zawadi ya miwani ambayo aliingia nayo on stage kupiga show ...
Mbeya City was in the building ... QUICK ROCKA na IZZO katika BALL PLAYER on the performance ...
IZZO BIZNESS na BARNABA wakikinukisha kwa fans ...
SHAA doing her thang ...
IZZO DJ FETTY BARNABA
0 comments:
Post a Comment