Home »
yaliyojili
» BIFU LA JAY DEE NA CLOUDS LA ZIDI KUPAMBA MOTO. hizi ndio habari zilizopo...............
BIFU LA JAY DEE NA CLOUDS LA ZIDI KUPAMBA MOTO. hizi ndio habari zilizopo...............
Written By warrior on Monday, May 6, 2013 | Monday, May 06, 2013
hapa alikua akizungumzia hiyo issue yaho na lady Jay Dee
HIZI NI BAADHI YA TWEETS ZA LEO JUU YA BIFU HILO....
NA LADY JAY DEE KASEMA HAYA..
Lady JaydeeKama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender
0 comments:
Post a Comment