KWA KWELI HALI ILIKUA NI TETE.........
Hali ya eneo mlipuko ulipotokea
Viongozi wa Kanisa
Wanasualama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio
Meya wa Manispaa ya Arusha, Mh gaundence Lyimo
Magesa Mulongo akiteta na RCO wa Mkoa wa Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, magesa Mulongo
Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo.
baadhi ya majeruhi.........
Home »
yaliyojili
» YALIYOJILI ARUSHA NDIO HAYA KWA PICHA!!!
YALIYOJILI ARUSHA NDIO HAYA KWA PICHA!!!
Written By warrior on Sunday, May 5, 2013 | Sunday, May 05, 2013
Labels:
yaliyojili
0 comments:
Post a Comment