Home »
yaliyojili
» BOSHOKE AKIWA SOUTH AFRICA AZUNGUMZIA JUU YA KIFO CHA NGWAIR.
BOSHOKE AKIWA SOUTH AFRICA AZUNGUMZIA JUU YA KIFO CHA NGWAIR.
Written By warrior on Tuesday, May 28, 2013 | Tuesday, May 28, 2013
Akiongea na Clouds FM muda mfupi uliopita, mwenyeji huyo aitwaye Jonathan amesema usiku wa kuamkia leo Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka.
Labels:
yaliyojili
0 comments:
Post a Comment