MABESTE SASA AAMUA KUFANYA GOSPEL, HIKI NDO ALICHOKISEMA KUTOKANA NA UAMUZI WAKE.
Written By warrior on Tuesday, May 28, 2013 | Tuesday, May 28, 2013
Akiongea na Bongo5, Mabeste amesema ameamua kuimba gospel kwakuwa ndio muziki unaogusa mambo ya kijamii na kuelimisha na rap itabaki kama biashara.
Labels:
burudani
0 comments:
Post a Comment