SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga. Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger
Home »
burudani
» KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB chek PICHA
KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB chek PICHA
Written By warrior on Monday, June 10, 2013 | Monday, June 10, 2013
SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga. Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger
Labels:
burudani
0 comments:
Post a Comment