Daktari asahau pamba tumboni mwa mama aliyejifungua kwa upasuaji, Bungoma
Written By warrior on Sunday, June 9, 2013 | Sunday, June 09, 2013
Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake. Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake....hali ambayo imemsababishia maumivu chungu zima. Beatrice Maganga na taarifa hiyo
Labels:
matukio
0 comments:
Post a Comment