Home »
burudani
» M 2 THE P AKIWA AMETOKA HOSPITALINI
M 2 THE P AKIWA AMETOKA HOSPITALINI
Written By warrior on Wednesday, June 5, 2013 | Wednesday, June 05, 2013
Huyo dada ni mtanzania anaitwa Maggie alieenda kumjulia hali baada ya
msanii huyo kutoka hospitaliMsanii M2 the P aliyekutwa mahuhuti pamoja
na Ngwair ambaye alifariki,. Mpaka sasa M To The P hajui kama Mangwea
amefariki na anadhani mwenzake ametangulia kuja Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment