Hizi
picha ni za msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala
Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au “unga”
nchini Misri. Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt
wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Kumekua
na taarifa kwamba msichana huyu amehukumiwa kunyongwa. Hata hivyo
baadhi ya watu wametuma message kadhaa kwa bloggers kwenye mitandao ya
kijamii kusema kwamba ni kweli ndugu yao amekamatwa lakini taarifa za
hukumu ya kunyongwa sio za kweli, na hata hajahukumiwa bado
Home »
yaliyojili
» USHAHIDI WA MADAWA YA KULEVYA ALIOKAMATWA NAYO MSICHANA HUKO MISRI, NDIO YULE MSICHANA ALIYESEMEKANA ATANYONGWA.
USHAHIDI WA MADAWA YA KULEVYA ALIOKAMATWA NAYO MSICHANA HUKO MISRI, NDIO YULE MSICHANA ALIYESEMEKANA ATANYONGWA.
Written By warrior on Wednesday, June 5, 2013 | Wednesday, June 05, 2013
Labels:
yaliyojili


0 comments:
Post a Comment