Now days kwa baadhi ya miji mikubwa hapa
kwetu tanzania imeanza kuzoeleka kumkuta
mwanamke akiwa amesimama kwenye mlango wa daladala kama konda
mwanamke wa kizungu,tena mzungu pure kuwa
konda wa daladala bila shaka ni ngumu kuamini
kidogo sababu tunaamini watu weupe hususani kutoka mataifa ya ulaya ni watu
waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha
so inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu kuwa
konda wa daladala tena ndani ya Africa?picha
hapo juu ni picha iliyopigwa maeneo ya kileleshwa
nchini kenya ikionesha mdada wa kizungu akiwa
ndani ya daladala aka matatuu na amevaa uniform
wanazovaa makonda yawezakuwa ni kweli ama
ni just swagg tu maana wazungu hawawezekani kwa vituko ...
0 comments:
Post a Comment